Mimi Mkinipa Kura zenu Mtanidai Ufunguo wa Kufungulia hii Milango Na Ndiyo Itakuwa Mwisho wa Shida Zote tunazopata Wakati wa Kufanya Kazi zetu
Mimi Najua Kwenye hii Tansinia yetu Wapo Wakurugenzi Wanao Uwezo Mkubwa Kutuvusha Sehemu Kubwa Ikiwa tukishirikiana Nao Vizuri.
Mambo Nitakayoyafanya Mkinipa Kura
1: Mipango Kazi ya Muda Mrefu
2:Mipango Kazi ya Muda Wa Kati
3:*Mipango Kazi ya Muda Mfupi*.
4:Tuwe na Bajeti Bora
Tutoe Hesabu za Mapato na Matumizi Kwa Wakati
5:Kutoa Kalenda/ Tarehe ya Vikao Vya Msimu Mzima wa Miaka yote 3 Kasoro Vikao Vya Dharura
Chama Kutegemea Michango ya Wanachama ni Makosa Vyanzo vya Mapato
1:Tuombe tuwe na Icds/ Where Housing Bonded (Mpango wa Muda Mrefu)
2:TAFFA Kumiliki Jengo lake( Mpango wa Muda Mrefu)
3: TAFFA Kuwa na Kampuni ya Wakala wa Bima
4: TAFFA Kuwa Na Saccos
5: Wanachama TAFFA Kuwa na Bima ya Afya
6:Ving'amuzi Visimamiwe na TAFFA
7: TAFFA Kuwa na Wadhamini Kama Vile Total, Gbp,Puma
8:TAFFA Kuwa na Boda boda, Gari ya Ofisi
9:TAFFA Kuwa na Tshet za Kila rangi na Zenye Ubora Sana.
10: Shipping line Kuna Utaratibu Unaosimamiwa na Tasac hakuna linaloshindikana na Sheria hizo zimeanzia Nchi zilizoendelea
11: Kampuni Kumilikiwa na Wageni.
Waraka Upo wa Wizara ya Kazi
12:Tuwe na Website Ambayo tutaitumia Sisi Pamoja na idara Zote tunazofanya Nazo Kazi hii Itasaidia Kuwa na Uwazi Katika Kazi