WASIFU WA TWAHA JUMA KIBAYASI MGOMBEA KITI CHA MJUMBE WA TAFFA 25.10.2023.

Alimaliza masomo ya sekondari 1980. Aliajiriwa katika Serikali ya Tanzania kisha kupitia mafunzo maalum ndani na nje ya nchi. Mtaalam wa FORODHA, BANDARI na MIPAKA. Uzoefu miaka 40. Vyeti Kitaaluma ni UN UNCTAD -REFORM TRACKER, WCO AEO, WCO TRS, UN UNCTAD TRADE FACILITATION, UNIVERSITY of MUNSTER USA/INSTITUTE OF TAX ADMINISTRATION-Development and Challenges for Customs Administration, EACFFPC, FIATA DIPLOMA INTERNATIONAL na VALUATION. Matarajio kuifanya TAFFA yenye UTHABITI,MABADILIKO na UTOFAUTI kabisa wenye Viwango na Kupimika katika mnyororo wa ugombowaji mizigo Bandarini wa njia nyepesi Endelevu isiyo na gharama,bughudha au kero kutoka kwa wadau wa sekta binafsi na Serikalini.

Ewe Mkurugenzi Mwenzangu na Mpenda Mabadiliko, Chagua Ebenezer Kwayu, Chagua Mbadiliko.

Post a comment

Your email address will not be published.

Related Posts